FAHAMU TV ITAKAYOONYESHA MECHI YA YANGA NA ST LOUIS

Mechi ya klabu bingwa barani Afrika kati ya wenyeji St Louis FC ya Shelisheli dhidi ya Yanga itaonyeshwa live kupitia kituo cha Azam Tv.

Mchezo huo unataraji kuanza kunako mishale ya saa 10 na nusu jioni kwa saa hapa nyumbani.

Katika mchezo huo Yanga inahitaji ushindi au sale yoyote ambayo itawafanya kusonga mbele katika michuano hiyo mikubwa kwa ngazi ya vilabu barani Afrika.

No comments