MAYANGA ATANGAZA MAJINA 24 YA KIKOSI CHA TAIFA STARS

Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars"Salum Shaban Mayanga ametangaza majina ya wachezaji 24 watakaoingia kambini Novemba 5 mwaka huu kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa kirafiki ulio kwenye kalenda ya FIFA dhidi ya  Benin utakaopigwa novemba 11 mwaka huu.

Mayanga alisema kwamba mchezo huo watakaocheza ugenini utakua na tija kubwa kwa timu ya Taifa hasa katika harakati za timu hiyo kujiandaa na michuano ya kufuzu kwa fainali za Afrika.

Wachezaji hao ni pamoja na

WALINDA MLANGO
1.Aishi Manula
2.Peter Manyika
3.Ramadhani Kabwili

WALINZI
4.Boniphace Maganga
5.Abdi Banda
6.Gadiel Michael
7.Kelvin Yondani
8.Nurdin Chona
9.Erasto Nyoni
10.Dickson Job

VIUNGO
11.Himid Mao
12.Hamis Abdalah
13.Mzamiru Yassin
14.Raphael Daud
15.Simon Msuva
16.Shiza Kichuya
17.Ibrahim Ajibu
18.Mohamed Issa
19.Farid Mussa
20.Abdul Mohamed

WASHAMBULIAJI
21.Mbwana Samata
22.Mbaraka Yusuph
23.Elias Maguli
24.Yohana Mkomola

No comments