KIPA WA SERENGETI BOYS ASAINI MIAKA MITANO YANGA

Uongozi wa klabu ya Yanga,leo hii umekamilisha usajili wa mlinda mlango wa timu ya taifa ya vijana Serengeti Boys, Ramadhani Kabwili kwa kumpa kandarasi ya miaka mitano kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo.

Kabwili anaingia katika historia ya klabu ya Yanga kwa wachezaji ambao wamesajiliwa kwa mkataba wa muda mrefu.

No comments