RAIS WA FIFA AIPONGEZA YANGA

Rais wa FIFA Gianni Infantino leo hii ametuma salam za pongezi kwa klabu ya Yanga baada ya kufanikiwa kuwa mabingwa wa ligi kuu ya Tanzania bara msimu huu.

Kwa mujibu wa maelezo yaliyoandikwa na Rais wa TFF,Jamali Malinzi kupitia ukurasa wake wa twita umeeleza pongezi hizo zilizotolewa na raisi huyo wa FIFA.


No comments