MANJI AJIUZULU RASMI YANGA

Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Yusuf Mehbub Manji ametangaza kujiuzulu rasmi kuiongoza timu hiyo baada ya kutoa taarifa kwa vyombo vya habari ikieleza sababu za kujiuzulu kwake.

Katika barua hiyo Manji ameeleza maswala mbalimba ambayo ameyafanya ikiwemo mafanikio ya klabu kufika hatua ya makundi ya kombe la shirikisho barani Afrika na kuondoa migogoro ambayo ilidumu kwa muda mrefu.

Barua hiyo pia imeelezea kuhusunia na swala zima la demokrasia ambapo ameeleza kuwa kwa sasa umefika wakati wa watu wengine na kuingoza Yanga na kuendeleza mazuri ambayo ameyafanya.

Zaidi isome taarifa yenyewe hapo chini kwa undani zaidi

No comments