DROO YA AZAM SPORT FEDERATION YATANGAZWA

Droo ya nusu fainali ya michuano ya Azam Sport Federation hatua ya nusu fainali imekamilika leo hii ambapo Simba na Azam zitakutana kwenye mchezo wa nusu fainali ya kwanza itakayopigwa tarehe 29 ya mwezi wa nne mwaka huu.

Nusu fainali ya pili itazikutanisha timu ya Mbao Fc na Yanga ambapo mchezo huo utapigwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza tarehe 30 ya mwezi huu.

No comments