AMBELE MWAKASAKA ATAMBA KUITANGAZA INJILI

Muimbaji wa nyimbo za injili hapa nchini Ambele Mwakasaka ametamba kuitangaza injiri sehemu mbalimbali kupitia kazi yake ya sanaa ya uimbaji.
Mwakasaka ambae kwa sasa anatamba na wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la "UMWEMA'alisema kwamba lengo lake kubwa ni kuitangaza injiri kupitia sanaa yake ambayo amebalikiwa na mungu.

Alisema kwamba kwa sasa ana jumla ya nyimbo nane ambazo zimepokelewa vizuri na jamii,hivyo kwake inampa chachu ya kuendelea kuzidisha juhudi zaidi katika kutunga nyimbo ambazo zina ujumbe mzuri.

Aidha alisema kwamba kwa sasa anakaribisha mialiko kwa watu mbalimbali ambao wapo ndani na nje ya nchi ili aweze kuhudumu katika matamasha mbalimbali ya uimbaji na shughuli nyingine kupitia sanaa yake.

KWA MAWASILIANO ZAIDI YA MUIMBAJI AMBELE MWAKASAKA MTAFUTE KUPITIA NAMBA HII,
0675109192

No comments