WEMA SEPETU ATOA KAULI NZITO YA KUSIKITISHA

Na,Said Ally
Msanii maarufu wa bongomovie hapa nchini Wema Sepetu leo hii ameamua kufunguka kwa kutoa dukuduku lake la moyoni ambalo linamkwaza kwa hivi sasa.

Kupitia ukurasa wake wa instgramu leo hii ameposti ujumbe mzito ambao unaonyesha ni jinsi gani anavyokerwa na baadhi ya tabia za watu kumtusi kupitia mitandao ya kijamii.

Wema katika ujumbe huo amepost na picha ambayo amekaa kama mtu mwenye hudhuni bila shaka akimaanisha na kile alichokiandika.

Soma zaidi ujumbe wake hapo chini kutambua kwa undani kile alichokieleza.



No comments