MKONGO ASAINI MIAKA MIWILI YANGA

Timu ya soka ya Yanga imefanikiwa kukamilisha usajili wa mchezaji Fiston Festo Kayembe Kanku kutoka klabu ya Balende FC ya DR Congo kwa kumpa mkataba wa miaka miwili.

Mchezaji huyo anaemudu kucheza beki namba nne na tano amesajiliwa kwa lengo kuimalisha safu ya ulinzi ya klabu hiyo hasa baada ya kuondoka Vicent Bosou.

No comments