SIMBA KUWAPASHA WANACHAMA HAPO KESHO


Klabu ya Simba hapo kesho siku ya Ijumaa tarehe 1/12/2017 itakuwa na mkutano na vyombo vya habari.

Mkutano huo utafanyika kwenye ukumbi mdogo wa klabu kuanzia majira ya saa tano kamili asubuhi.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari imeeleza katika mkutano huo,mambo mengi ya umuhimu yatawekwa wazi ili jamii na wanachama wa klabu hiyo wafahamu kwa undani.

No comments