KAULI YA YANGA BAADA YA KIFO CHA ALLY YANGA

TANZIA
Uongozi wa Yanaga SC umepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Ally Yanga, hakika MUNGU ni mwema , faraja ya MUNGU wetu ikawe kwa familia katika kipindi chote cha majonzi kwa kuondokewa na mpendwa wao, Pia nasi Yanga kifo chake kina acha pengo kubwa kwa nafasi yake ambayo ilipelekea kujipatia umaarufu mkubwa na alikuwa balozi mzuri kama mwanachama na shabiki mkubwa  wa timu yetu, Bwana alitoa, Bwana ametwaa.

Imetolewa na Idara ya Habarai na mawasiliano.
Young Africans Sports Club.
20-6-2017.

No comments