WALIMU WAPEWA NASAHA KUIBORESHA LIGI YA ZANZIBAR

Walimu wametakiwa kuviandaa vyema vilabu vyao ili kuzidi kuiboresha ligi kuu ya soka ya  Zanzibar hasa kwa kipindi ligi inapoelekea ukingoni.

Wito huo umetolewa na mwalimu wa mpira wa miguu Zanzibar Muhammed Shubery wakati akizungumza na MWANDIKE.BLOGSPOT juu ya maoni yake kuhusiana na ligi hiyo ambapo amewataka wachezaji na viongozi kukubali kushauriwa na wadau mbalimbali wa mpira wa miguu.

Shubery pia amewataka wachezaji kujitambua ili kulisaidia soka la Zanzibar ukizingatia kwa sasa Zanzibar ipo katika shirikisho la soka barani Afrika CAF.

No comments