MAHAKAMA YAMUACHIA MANJI KWA DHAMANA
Mwenyekiti wa klabu ya Yanga,Yusuph Manji leo hii amefikishwa mahakamani na kupata dhamana ya shilingi milioni 10 ambapo dhamana hiyo amejidhamini mwenyewe na mdhamini mmoja aliyesemekana ni katibu mkuu wa klabu ya Yanga Boniphace Mkwasa ambae aliweka dhamana na ya milioni 10 kwa upande wake.
Kesi hiyo sasa itasikilizwa tena march 16 mwaka huu.
Kesi hiyo sasa itasikilizwa tena march 16 mwaka huu.
Post a Comment