MANJI AKIMBIZWA HOSPITAL KWA MATIBABU

Mwenyekiti wa klabu ya Yanga,Yusuph Manji ametolewa katika kituo cha Polisi na kukimbizwa Hospital kwa gari la wagonjwa kwa ajili ya matibabu.

Taarifa ambazo MWANDIKE.BLOGSPORT imezipata kutoka kwenye vyanzo vya habari zinadai kuwa Manji aliyekuwa mahabusu tangu siku ya alhamisi kwa tuhuma za madawa ya kulevya amepelekwa hospitalini kutibiwa baada ya kuugua.

No comments