MASHALI AUWAWA USIKU WA KUAMKIA LEO

Bondia maarufu wa ngumi za kulipwa hapa nchini Thomasi Mashali amefariki usiku wa kuamkia leo hii.

Kwa mujibu wa taarifa za awali zinadai kuwa  Mashali amepigwa  kwa tuhuma za wizi ama kuwa na ugomvi na watu wasiojulikana maeneo ya Kimara jijini Dar es salaam.

"Taarifa zaidi zitawajia"

No comments