SIMBA, AFRICAN LYON KESHO ASFC UWANJA WA TAIFA

Kesha Alhamisi Februari 16, 2017 timu za mpira wa miguu za Simba na African Lyon zitacheza mechi yao katika Raundi ya Sita ya kuwania Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) yaani Azam Sports Federation Cup.

Mchezo huo awali ulipangwa kufanyika Machi mosi, 2017 lakini ulirudishwa nyuma kwa sababu za kiufundi kutoka kwa timu zote mbili kukubaliana.

No comments