ORODHA YA WACHEZAJI YANGA WALIOPAA KWENDA ALGERIA

Orodha ya wachezaji 17 wa Yanga SC waliosafiri kuelekea nchini Algeria kwa ajili ya mechi ya kwanza hatua ya makundi dhidi ya USM Algers.

1. Youthe Rostand
2. Ramadhani Kabwili
3. Juma Abdul
4. Hassan Kessy
5. Haji Mwinyi 
6. Gadiel Michael
7. Pato Ngonyani
8. Vicent Andrew Dante 
9. Abdallah Shaibu Ninja
10. Said Juma Makapu 
11. Raphael Daudi
12. Pius Buswita 
13. Yusuph Mhilu
14. Emmanuel Martin
15. Geofrey Mwashiuya
16. Juma Mahadhi
17. Yohana Mkomola 

Kwa mujibu wa uongozi wa klabu hiyo umeeleza kuwa wachezeji ambao wamekosekana ni kwa sababu ya ugonjwa na kukosa visa za kusafiria .

Hata hivyo kuna taarifa ambazo hazijathibitishwa na uongozi zinaeleza kuwa wachezaji hao wamegoma kutokana na madai ya mishahara yao.

No comments