LIGI YA MABINGWA WA MIKOA KUANZA KUTIMUA VUMBI MEI 6,2018

Ligi ya Mabingwa wa Mikoa(RCL) inatarajia kuanza kutimua vumbi kuanzia Jumapili Mei 6 na kumalizika Mei 22,2018 kwenye vituo vinne.
Ligi hiyo ya RCL itashirikisha timu 28 zilizogawanywa kwenye makundi manne kwenye vituo vya Geita,Singida,Rukwa na Kilimanjaro na kila kundi kwenye kituo likiwa na timu 7.
Kila kundi litapandisha timu 2 wakati zitakazobaki zitarudi ligi ya mkoa

No comments