ITAZAME VIDEO MPYA YA HARMONIZE FT DIAMOND PLATNUMZ "KWANGWARU"

Mkali wa muziki wa Bongo Fleva Harmonize ameachia video yake mpya ambayo amemshirikisha Diamond Platnumz,ngoma inayojulikana kwa jina la "KWANGARU"

MWANDIKE BLOG imekuwekea hapo chini kuitazama video hiyo.

No comments