HASSANI KESSY AACHWA DAR YANGA IKIELEKEA BOTSWANA

Kikosi cha timu ya Yanga kimeondoka leo Alfajiri saa 10:15 kuelekea nchini Botswana tayari kwa mchezo wa marejeano wa ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya wenyeji Township Rollers utakaopigwa March 17 mwaka huu.

Jumla ya wachezaji 20 na viongozi 11 wakiwemo 8 wa benchi la ufundi wamekuwa sehemu ya msafara huo.

Orodha kamili ya wachezaji na viongozi ni pamoja na
1.Youthe Rostand
2.Ramadhani Kabwili
3.Juma Abdul
4.Gadiel Michael
5.Nadri Haroub
6.Pato Ngonyani
7.Said Juma Makapu
8.Kelvin Yondani
9.Papy Kabamba
10.Abdallah Shaibu
11.Thabani Kamusoko
12.Juma Mahadhi
13.Andrew Vicent
14.Obrey Chirwa
15.Geofrey Mwashiuya
16.Raphael Daud
17.Yusuf Mhilu
18.Emmanuel Martine
19.Pius Buswita
20.Ibrahim Ajibu

VIONGOZI
George Lwandamina
Noel Mwandila
Shadrack Nsajigwa
Juma Pondamali
Hafidh Salehe
Dk Edward Bavu
Jacob Onyango
Mahamood Omary
Omary Kaya
Samwel Lukumay
Elias Mwanjala

Katika msafara huo Yanga imeshindwa kuambatana na mchezaji Hassani Kessy baada ya mchezaji huyo kuwa na kadi mbili za njano ambazo zinamfanya akose kushiriki pambano hilo la kimataifa kwa ngazi ya vilabu barani Afrika.

No comments