MSUVA AANDIKA REKODI MPYA AFRIKA

Timu ya Difaa Hassan El Jadidi imefanikiwa kutinga hatua ya makundi katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika baada ya Leo hii kupata sale ya 2-2 na timu ya As Vita ya Congo.

Difaa Hassan El Jadidi imetinga kwenye hatua ya makundi kufuatia ushindi wa bao 1-0 walioupata nchini Morocco.

Kufuzu kwa Difaa Hassan El Jadidi kunampa nafsi Saimon Msuva kuandika rekodi mpya kwake kucheza hatua ya makundi kwenye michuano hiyo mikubwa kwa ngazi ya vilabu barani Afrika.

No comments