MAYANGA AMREJESHA KIKOSINI IBRAHIM AJIBU KWENYE KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA

Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars,Salum Mayanga ametangaza majina ya wachezaji 21 ambao watajiunga na timu ya Taifa kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa tarehe ya FIFA dhidi ya Malawi.

Mchezo huo wa kirafiki unatarajiwa kuchezwa katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam tarehe 7/10/2017 ambapo kocha Mayanga pia amemrejesha kikosini mchezaji Ibrahim Ajibu.

Wachezaji hao ni pamoja na,

WALINDA MLANGO
1.Aishi Manula
2.Ramadhani Kabwili
3.Peter Manyika

WALINZI
4.Gadiel Michael
5.Erasto Nyoni
6.Boniphace Maganga
7.Adeyuni Salehe Admed
8.Abdi Banda
9.Kelvin Yondan
10.Salim Mbonde

VIUNGO WA KATI
11.Himid Mao
12.Hamis Abdalah
13.Mzamiru Yassin
14.Raphael Daudi

VIUNGO WA PEMBENI
15.Simon Msuva
16.Shiza Kichuya
17.Morel Ergenes
18.Abdul Hilal Hassan
19.Ibrahim Ajibu

WASHAMBULIAJI
20.Mbwana Samatta
21.Mbaraka Yusuph

No comments