SIMBA WASEMA WAKO TAYARI KWA MAPAMBANO

Uongozi wa timu ya soka ya Simba umesema kwamba kikosi cha timu hiyo kipo tayari kwa mapambano na wanataraji kuingia katika mechi hiyo ya kesho kwa nia moja tu ya kusaka ushindi mbele ya Yanga.

Mkuu wa habari na mawasiliano wa klabu ya Simba,Haji Manara amesema kwamba kikosi cha timu yao kipo vizuri kwani hadi kufikia sasa hakuna mchezaji aliye majeruhi kuelekea kwenye pambano hilo ambalo ni gumzo kwa sasa.

No comments