WADAU WATAKIWA KUCHUKUWA FOMU ZA KUWANIA UONGOZI TPLB

Shirkisho la soka nchini TFF limeendelea kuwasisitiza wadau wa klabu za ligi kuu na ligi daraja la kwanza kujitokeza kwa wingi kuchukua fomu za kugombea nafasi za uongozi wa kamati ya uongozi wa Bodi ya Ligi TPLB.

Afisa habari wa TFF Alfred Lucas alisema mchakato wa kuchukua fomu umeanza rasmi leo hii katika ofisi za shirikisho hilo.

No comments