MBEYA CITY YAWEKA BAYANA USAJILI WA NGASA

Baada ya kuwepo kwa taarifa za mchezaji Mrisho Khalifani Ngasa kusaini katika klabu ya Mbeya City,uongozi wa klabu hiyo umesema kwamba leo hii utatoa taarifa rasmi zinazohusiana na maswala mbalimbali ya klabu hiyo ikiwemo swala hilo la usajili.

Afsa Habari wa Mbeya City Dismas Ten amesema kwamba kwa sasa uongozi unaendelea kuandaa ripoti ili kuufahamisha uma juu ya kile ambacho wamekifanya.

No comments