NINJE ATANGAZA KIKOSI CHA KILIMANJARO STARS

Kocha mkuu wa timu ya Kilimanjaro Stars Ammy Conrad Ninje leo hii ametangaza kikosi cha wachezaji 20 wa timu hiyo ambao wanataraji kuingia kambini siku ya tarehe 26 ya mwezi huu kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya kombe la Challenge itakayofanyika nchini Kenya kuanzia Desemba tatu mwaka huu.

Wachezaji hao ni pamoja na;

MAKIPA
1.Aishi Manula
2.Peter Manyika

WALINZI
3.Boniphace Maganga
4.Gadiel Michael
5.Kelvin Yondani
6.Erasto Nyoni
7.Mohammed Hussein
8.Kennedy Wilson

VIUNGO
9.Himid Mao
10.Hamis Abdalah
11.Mzamiru Yassin
12.Raphael Daud
13.Jonas Mkude
14.Shiza Kichuya
15.Ibrahim Ajibu
16.Abdul Hilal

WASHAMBULIAJI
17.Elias Maguli
18.Mbaraka Yusuph
19.Yohana Mkomola
20.Daniel Lyanga

No comments