LULU AUHUKUMIWA KWENDA JELA

Muigizaji maarufu wa filamu hapa nchini,Elizabeth Michael maarufu kwa jina Lulu amehukumiwa kifungu cha miaka miwili jela kwa kosa la kuua bila kukusudia.

Lulu alikuwa anakabiliwa na kesi hiyo akidaiwa kumuua Msanii mwenzake, Steven Kanumba bila kukusudia, kinyume cha Kifungu cha 195 cha Kanuni za Adhabu (PC), April 7, 2012, nyumbani kwa marehemu Kanumba, Sinza Vatican.

No comments