SIMBA WAAMUA KUACHANA NA SHOMARI KAPOMBE
Uongozi wa klabu ya Simba umesema kwamba huenda wakaachana na mchezaji Shomari Kapombe kuendelea kuitumikia timu hiyo kwa sababu ameshindwa kuisadia timu.
Mwenyekiti wa kamati ya usajili Zakaria Hans Pope amesema kwamba walimsajili mchezaji huyo kwa kuwa walikuwa wanamuhitaji ili kuitumikia Simba lakini kwa sasa ameonekana kushindwa kuisaidia timu.
Hans Pope alisema kwamba mchezaji huyo anaonekana kuogopa kucheza kwa kipindi hiki ikiwa lipoti ya daktari inaonyesha amepona majeraha yake.
Hata hivyo aliongeza kwa kusema kuwa uongozi utazungumza na Kapombe ili kujua msimamo wake,kama ataendelea kugoma kucheza basi hatakuwa miongoni mwa wachezaji wa Simba.
Tangu asajiliwe na klabu ya Simba Kapombe hakuwa na wakati mzuri wa kuitumikia timu hiyo baada ya kuwa na majeraha yaliyomfanya kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu.

Post a Comment