MTIBWA SUGAR WAPANGA KUIFUNGA YANGA JUMAPILI

Uongozi wa timu ya Mtibwa Sugar ya mkoani Morogoro umekipongeza cha mpira cha mkoa wa Morogoro na wamiliki wa uwanja wa Jamuhuri kwa jitihada kubwa waliyoifanya kuhakikisha wana ukarabati vyema uwanja huo.

Afisa Habari wa Mtibwa Sugar,Tobias Kifaru alisema kwamba uongozi wa klabu hiyo umeridhishwa na jitihada hizo hasa baada ya TFF kuuruhusu uwanja huo kuanzia sasa uendelee kutumika kwa ajili ya michezo ya ligi kuu ya Tanzania bara.

No comments