MBEYA CITY YAANZA MAANDALIZI YA KUIFUNGA AZAM FC

Baada ya kurejea  jijini Mbeya , kutoka ziara ya michezo mitatu ya kirafiki wilayani Sumbawanga, kikosi cha Mbeya City Fc  kimeanza  mazoezi ikiwa ni matayarisho kueleka mchezo wa ligi kuu ya soka Tanzania Bara dhidi ya Azam Fc uliopangwa kuchezwa katika uwanja wa Azam Complex  Januari 17.

Afisa habari  wa mbeya  City  Dismas Ten, ameiambia MWANDIKE BLOGSPORT  kwamba ziara ya michezo ya kirafiki wilayani Sumbawanga imekuwa na tija  kumbwa  katika kuimarisha  kikosi  cha ambapo  imani yao ni kuishushia azam kipigo katika mchezo huo ambao utapigwa  hapo januari 17.

Dismas ten amasema kwamba  wachezaji wote wako katika hali nzuri hakuna aliye majeruhi na wote wako tayari kwa mchezo huo dhidi ya Azam Fc.

No comments