MOHAMED HUSSEIN MMACHINGA ASEMA TAMBWE ATAKUA MBELE KWA MABAO MBELE YA MAVUGO



Mmachinga amesema kwamba mchezaji Amisi Tambwe ana nafasi kubwa ya kunyakua tuzo ya mchezaji bora tofauti na Laudti Mavugo ambapo amedai kua Tambwe ana nafasi kubwa kwa sababu anafahamu vizuri mazingira ya Tanzania.

Amesema kwamba wachezaji hao wote ni wazuri lkn kwa Mavugo itakua ngumu kusema anaweza kua mfungaji bora kwa kua hajayazoea mazingira ya hapa nchini na viwanja kwa ujumla.

 Hata hivyo amewataka wachezaji wazawa ambao ni wanamudu kucheza nafasi za ushambuliaji kuiga mifano yao ili na wao wawe chachu ya mafanikio kwa kuzisaidia timu zao linapofika jukumu la upachikaji magoli.


No comments