TANZANIA YAFANYA VYEMA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA

Timu ya wasichana ya Tanzania inayoundwa na watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu wa kituo cha  TSC cha jijini Mwanza wamefanikiwa kutinga fainali ya kombe la Dunia la watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu.

Vijana hao walifanikiwa kuingia fainali baada kuifunga timu ya England kwa jumla ya magoli 2-1 ambapo sasa kikosi hicho kitacheza mchezo wa fainali na timu ya Brazil.

No comments