MAJINA 20 YA WACHEZAJI YANGA WALIOENDA NCHINI KENYA

Wachezaji 20 na viongozi saba wa timu ya soka ya Yanga leo hii wanataraji kusafiri kuelekea nchini  Kenya kwa ajili ya kwenda kushiriki michuano ya SportPesa Super Cup.

Benchi la ufundi lina jumla ya watu watano huku viongozi wa sekritarieti wakiwa wawili.

Wachezaji hao ni pamoja na;
1. Youthe Rostand
2. Ramadhan Kabwili 
3. Hassan Kessy
4. Yahaya Akilimali
5. Mwinyi Hajji
6. Pius Buswita
7. Abdallah Shaibu
8. Pato Ngonyani
9. Ibrahim Ajib 
10. Maka Edward
11. Yohana Mkomola 
12. Thabani Kamusoko
13. Mateo Anthony
14. Amissi Tambwe
15. Juma Mahadhi
16. Said Juma 
17. Said Mussa
18. Papy Tshishimbi
19. Yussuf Mhilu
20. Raphael Daud

No comments