WADAU WA SOKA WAITAKA TFF KUIANDAA VYEMA SERENGETI BOYS

Baada ya timu ya vijana ya Tanzania Serengeti Boys kufanikiwa kufuzu kucheza fainali za vijana za Afrika, kufuatia timu ya Congo kumchezesha mchezaji aliyezidi umri wa miaka 17,wadau mbalimbali wa mpira wa miguu hapa nchini wamefuhishwa na hatua hiyo lakini wametoa rai kwa TFF kuwa makini kwa wakati huu.

Wadau hao wakizungumza kwa nyakati tofauti wamelishauri shirikisho la mpira wa miguu hapa nchini kuiandaa vyema timu hiyo ya vijana ikiwemo kukaa kambini kwa muda mrefu kabla ya kuanza kwa mashindano hayo.

No comments