MANJI BADO ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLIS

Mwenyekiti wa Yanga Yusuph Manji bado anaendelea kushikiliwa na jeshi la Polisi kufuatia tuhuma za madawa ya kulevya zilizotolewa na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam,Paulo Makonda.

Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es salaam,Saimon Siro aliesema kwamba Manji anaendelea kuwepo Mahabusu kwa ajili ya upelelezi Zaidi kuhusiana na tuhuma hizo za madawa ya kulevya.


No comments