MASOGANGE AACHIWA HURU

Video Queen Agnes Gerald maarufu kwa jina la Masogange  ameachiwa huru  na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kufanikiwa kulipa faini ya shilingi milioni 1.5.

Masogange alihukumiwa kwenda jela miaka miwli au kulipa faini ya Shilingi milioni 1.5 baada ya kukutwa na hatia ya kutumia dawa za kulevya aina ya Heroin na Oxazepam.

No comments