IBRA NATION AMVULIA KOFIA RAMA DEE

Na Rodger
Kwa Wasanii Wa Kibongo Wanaofanya Aina Moja ya Muziki Kufungukuka Kuwa Anamkubali Msanii Mwenzake Huwa Ni Mara Chache Sana.

Sasa Msanii wa R&B Hapa Nchini Tanzania Ibra Nation amefunguka Na Kudai Kuwa Kwa Upande Wake Msanii Ambaye Anayemkubali Sana Kwenye R&B Kuwa Ni Rama Dee.
“Rama Dee Ni Msanii Ambaye Anakitu Cha Kipekee Kwenye R&b anaenergy sana Kwenye R&B ametuenspire Wasanii Wengi sana Kufanya R&B Kwaiyo Respect sana Rama Dee Namrespect Sana huyu Bro Ametuenspire wengi sana Sio Kitu Kitu kidogo''alisema Ibra Nation

No comments