HANS ATANGAZA KIKOSI CHA KUWAKABILI AFRIKA LYONI LEO HII KATIKA UWANJA WA TAIFA

 
Mabingwa wa ligi kuu ya timu ya soka ya Yanga leo hii inataraji kushuka uwanjani kwa mara ya kwanza katika ushiriki wa michezo ya ligi kuu ya Tanzania bara baada ya kutoka kwenye michuano ya kimataifa ambapo leo hii watamenyana na Afrika Lyon iliyopanda daraja msimu huu.
 
Hadi sasa kikosi cha Yanga ambacho kinataraji kuanza kimeshafahamika.
1. Deo Munishi ‘Dida’
2. Hassan Kessy
3. Haji Mwinyi
4. Andrew Vincent ‘Dante’
5. Vincent Bossou 
6. Thaban Kamausoko
7. Simon Msuva
8. Haruna Niyonzima
9. Donald Ngoma
10. Amiss Tambwe
11. Deus Kaseke

Sub
  Beno Kakolanya, Oscar Joshua, Pato Ngonyani,Juma Mahadhi, Said Makapu, Mateo, Yusuph

No comments