WACHEZAJI 13 YANGA WATAKAOIVAA TANZANIA PRISONS

Yanga jioni ya leo inataraji kushuka dimbani kumenyana na Tanzania Prisons katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania bara huku ikiwa na jumla ya wachezaji 13.

KIKOSI KAMILI
1.Beno Kakolanya
2.Juma Abdul
3.Emmanuel Martine
4.Abdalah Shaibu
5.Pato Ngonyani
6.Maka Edward
7.Paul Godfrey
8.Thabani Kamusoko
9.Yohana Mkomola
10.Matheo Anthony
11.Baruani Akilimali

SUBS
12.Yusuph Suleiman
13.Amis Tambwe

No comments