YANGA YAIPIKU SIMBA USAJILI WA BUSWITA

Mabingwa wa ligi kuu ya Tanzania bara timu ya soka ya Yanga wamekamilisha usajili wa aliyekuwa kiungo wa timu ya Mbao FC.Pius Buswita kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo katika msimu ujao wa ligi kuu ya Tanzania bara kwa kandarasi ya miaka miwili.

Awali Buswita ilielezwa kuwa alikuwa mbioni kujiunga na klabu ya Simba baada ya kukubaliana kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo lakini leo hii Yanga kama imelipiza kisasi kwa wekundu hao.

No comments