NINJA ASAINI MKATABA WA MIAKA 2 YANGA

Beki kisiki wa timu ya Taifa ya Jang'ombe Abdallah Haji Shaibu maarufu kwa jina la Ninja amejiunga rasmi na klabu ya Yanga baada ya kusaini kandarasi ya miaka miwili leo hii.

Ninja ameiambia MWANDIKE.BLOGSPORT kwamba amejipanga vizuri kuhakikisha anaifanyia vizuri klabu yake mpya ya Yanga na amewataka wanachama wa klabu hiyo wategemee mazuri kutoka kwake.

No comments