WADAU WAOMBWA KUDHAMINI MCHEZO WA TENIS

Aliyewai kuwa katibu wa mchezo wa tenis Inga Njau amesema kwamba Tanzania inakabiliwa na tatizo kubwa la kupata wachezaji bora wa timu ya Taifa wanaomudu kucheza mchezo huo kwa kuwa timu hazishiriki mara kwa mara mashindano mbalimbali.

Njau amesema kwamba tatizo kubwa ambalo linawakabili ni kukosa wadhamini ambao mara nyingi kumekuwa na tatizo kwao kwani wachezaji mbalimbali wa mikoani wamekuwa wakishindwa kufika jijini Dar es es salaam kushiriki michezo mbalimbali kutoka na ukosefu wa fedha.

No comments