BAADA YA KUACHIA VIDEO YA VIWANGO VINGINE,PIUS ASEMA HAYA

Na Said Ally
Mwimbaji wa Music wa injili Tanzania Costantino Pius ameachia video yake mpya iitwayo viwango vingine ambayo amemshirikisha Christopher Muhangila.

Akizungumza na Saidallymwandike.blogsport.com Pius alisema kwamba lengo la wimbo huo ni kuwatia moyo watu ambao wamejikuta katika wakati mgumu kimaisha.

Alisema kwamba kupitia wimbo wake huo amefanikiwa kufika katika maeneo mbalimbali kwa ajili ya huduma ambayo mungu ameiweka ndani yake.

Ili kuiangalia video hiyo bonyeza link hii https://youtu.be/djs8EOWpetU

Mwandishi wa blog hii anapatikana kwa namba 0714827331
                                      email,Saidallymwandike@gmail.com

No comments