OKWI AANZIA BENCHI SIMBA IKIIVAA SINGIDA UNITED

Na Said Ally
Kocha msaidizi wa timu ya soka ya Simba,Massoud Djuma leo hii amemuweka kwenye kikosi cha wachezaji wa akiba mshambuliaji wa timu hiyo Emmanuel Okwi katika pambano lao la ligi kuu ya Tanzania bara dhidi ya Singida United.

Kwa muda mrefu Okwi alikuwa hayupo pamoja na kikosi cha Simba na huenda hicho kikawa kigezo cha kocha kutomuanzisha katika kikosi cha kwanza.

KIKOSI KAMILI CHA SIMBA
1.Aishi Manula
2.Nicholas Gyan
3.Asante Kwasi
4.Juuko Murshid
5.Erasto Nyoni
6.Jonas Mkude
7.Jamse Kotei
8.Mwinyi Kazimoto
9.John Boko
10.Shiza Kichuya
11.Mzamiru Yassin

SUB
12.Emmanuel Mseja
13.Yusufu Mlipili
14.Mohamed Hussein
15.Mohamed Ibrahim
16.Said Ndemla
17.Moses Kitandu
18.Emmanuel Okwi

No comments