NYOSSO ASHIKILIWA NA POLISI BAADA YA KUMPA KIPIGO SHABIKI


Beki wa timu ya Kagera Sugar,Juma Nyosso anashikiliwa na jeshi la Polisi mkoani Kagera baada kumpiga shabiki mara baada ya mechi yao ya ligi kuuu ya Tanzania bara dhidi ya Simba kukamilika katika uwanja wa Kaitaba.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka katika vyanzo mbalimbali vya Habari vinaeleza kuwa Nyosso alikerwa na ushangiliaji wa shabiki huyo hivyo akaamua kuchukua jukumu la kumpiga shabiki huyo anaedaiwa kuwa ni timu ya Simba.

No comments