AMISI TAMBWE APATA MTOTO WA KIUME

Mshambuliaji wa timu ya soka ya Yanga,Amisi Tambwe usiku wa jana amefanikiwa kupata mtoto wa kiume.


Tambwe anaelekea kwenye mchezo wa ligi kuu ya Tanzania bara unaotaraji kuchezwa hapo kesho dhidi ya Afrika Lyoni akiwa na kumbukumbu nzuri ya kuwa na mtoto wa kiume aliyezaliwa jana usiku.

No comments