MKWASA ATUMA SALAM ZA RAMBIRAMBI KWA FAMILIA YA ATHMAN CHAMA

Katibu Mkuu wa timu ya Yanga Charles Boniphace Mkwasa ametuma salam za rambirambi kwa familia ya marehemu Athmani Juma Chama 'Jogoo ' kufuatia kifo cha nyota huyo wa zamani wa Yanga kilichotokea katika hospital ya Muhimbili Jana usiku..

"Nawaomba wana yanga wote tuungane kwa pamoja na familia ya marehemu katika kipindi hiki kigumu" Chama alikuwa mchezaji mahiri wa Yanga na alifanya mengi mazuri kwa timu na Taifa enzi za uhai wake"- Mkwasa.

No comments