ITAZAME VIDEO MPYA YA MAROMBOSO "WATAKUBALI"

Baada ya kutambulishwa rasmi kuwa miongoni mwa wasanii wa WCB,msanii aliyetokea katika zao la kundi la Yamoto Band,Maromboso kwa sasa ameachia ngoma yake mpya inayojulikana kwa jina la "WATAKUBALI'.

Kutokana na mchango wako wewe msomaji wa blog hii basi Saidallymwandike.blogspot.com imekuwekea ngoma hiyo.

No comments