YANGA YAPELEKA KIKOSI KAMILI ZANZIBAR

Kikosi cha Yanga leo hii kimefanya mazoezi yake ya mwisho kwenye uwanja wa uhuru tayari kwa safari hapo kesho kuelekea zanzibar kwenywe kombe  la mapinduzi.

Yanga inataraji kuondoka hapo kesho na boti ya saa tisa alasiri ikiwa na jumla ya wachezaji 26 pamoja na benchi la ufundi ambapo mabingwa hao watetezi wa ligi kuu ya Tanzania bara wanataraji kucheza mechi yao ya kwanza saa 2.30 usiku dhidi ya Jamhuri,mechi itakayochezwa Amani Stadium.

Orodha ya wachezaji wanaokwenda Zanzibar katika mashindano hayo;

Makipa 
1. Deogratius Munishi
2. Beno Kakolanya
3. Ali Mustafa

Walinzi
4. Nadir Haroub
5. Pato Ngonyani
6. Vicent Andrew 
7. Hamisi Hassani
8. Mwinyi Haji
9. Kelvin Yondani
10. Juma Abdul 
11. Oscar Joshua

Viungo
12. Haruna Niyonzima
13. Justin Zullu
14. Saimoni Msuva
15. Juma Mahadhi
16. Geofrey Mwashuiya
17. Deusi Kaseke
18. Saidi Juma
19. Thabani Kamusoko
20. Yusu Mhilu

Washambuliaji
21. Donald Ngoma
22. Amisi Tambwe
23. Emanuel Martin
24. Obrey Chirwa
25. Mateo Anthony 

Yanga SC inamkosa Vicente Bossou aliyekwenda nchini Senegal kujiunga na timu yake ya taifa ( Togo ) kwa ajili ya michuano ya AFCON inayoanza January 14, 2017.

No comments